ELEVANTE GROUP LIMITED


PAPAA SKOMBE TRILLIONAIRE👇


​Karibu Elevante Group Limited — Kampuni inayolenga kuwa chachu ya mabadiliko chanya kupitia elimu ya biashara, ushauri wa kimkakati, na fursa za kiuchumi. Tunaamini mafanikio yanajengwa juu ya maarifa sahihi, nidhamu, na kuchukua hatua.


​TUNACHOTOA NA KUFANYA:

​Business Mentorship & Ujasiriamali: Mbinu sahihi za kukuza na kuendesha biashara kutoka sifuri hadi ngazi ya juu.


​Mindset & Nidhamu: Kujenga mtazamo wa kishindi, nidhamu ya kimaisha, na tabia za kufikia mafanikio makubwa.


​Fursa za Kazi na Ajira: Kuwaunganisha wanachama na taarifa za fursa za kazi katika sekta mbalimbali kama ujenzi, migodini, kilimo, maofisini, na kwingineko.


​KWA WAAJIRI NA MAKAMBUNI (WANAOHITAJI WAFANYAKAZI):

Ikiwa kampuni au biashara yako inahitaji wafanyakazi wenye sifa, nidhamu, na uchapa kazi mzuri, mnaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia namba ya kampuni ili tuwaunganishe na watu sahihi bila malipo.

📞 Simu +255 741 604 114

✉️ Barua Pepe: info@papaaskombe.com


​1. FAIDA ZA KUJIUNGA NA GROUP

group hili maalumu limeundwa ili kukupa fursa na miongozo ya kukusaidia kufanikiwa katika upambanaji wako. Wanachama wa group hupata:

​Taarifa za haraka na za uhakika za fursa za kazi na ajira.

​Mafunzo ya maandalizi ya usaili (interviews) na jinsi ya kujenga CV ya kiprofeshno.

​Elimu ya biashara, ujasiriamali, na mbinu za kiuchumi.

​Miongozo na elimu endelevu ya kukupa mwangaza wa kufanikiwa.


​👉 Gharama ya Kujiunga na Group: Tsh 150,000/=

​2. USHAURI SHINIKIZI WA PRIVATE (ONE-ON-ONE PRIVATE CONSULTATION):

Kwa watu wa biashara, wawekezaji, au mtu yeyote anayehitaji kuonana ana kwa ana au kufanya mazungumzo ya siri ya kiundani (Private Meeting) na Papaa Skombe Trillionaire kwa ajili ya:

​Mbinu za siri za kufanikisha biashara yako na kuzuia hasara.

​Ushauri binafsi wa kiuchumi na mikakati ya uwekezaji.

​Mambo ya msingi na ya siri yanayotaka uongozi au mwongozo wa moja kwa moja yani kuonana na PAPAA SKOMBE TRILLIONAIRE moja kwa moja bila pingamizi lazima ulipie 200$ sawa na Tsh.520,000

​👉 Gharama ya Usikilizaji (Consultation Fee): $200 USD (Sawa na takriban Tsh 520,000/=


​MAELEKEZO YA MALIPO NA JINSI YA KUJIUNGA: 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇


​Fanya malipo yako kwenda kwenye namba ya kampuni: 📲 Namba ya MaliPO: +255 723 604 118 litakuja_jina_la Kampuni ELEVANTE GROUP LIMITED

​Ukishakamilisha malipo, tuma screenshot yako (uthibitisho wa muamala) Kupiatia namba ya WhatsApp (+255 723 604 118) utaweza kujibiwa na kuhudumiwa:


​🏢 Kampuni: Elevante Group Limited

📞 Namba ya Simu / WhatsApp: +255 723 604 118

✉️ Barua Pepe: info@papaaskombe.com

  Â